by Sui He
<p><strong> "My wife, I want to eat your tofu …" "Eat your sister!"</strong>"</p><p>I was reborn into the body of a poor country girl, Su Jinsi said, and it's all not a big deal, I have one spoon in my hand even in the world, I'll be a cook, I'll be the king of kitchens, and I'll gain the reputation of a deity eater. But, that handsome man, why does he always have one spoon in his mouth?" </p>
by John_Raphael_8794
Binaadamu tumeumbwa na uwezo mkubwa wa kufikiri na kutatua changamoto zinazo tuzunguka, lakini kuna wakati jitihada zetu hazitoshi kujitoa kwenye dhahama hivo kuna mda tunahitaji tusaidiwe na mungu au matokeo ya kisayansi.Kisanga ni riwaya iliyoegemea kwenye matukio yetu ya kila siku, inaonesha jinsi stela na chazi wanavyo pambana kuishi na kujitoa ndani y chumba ambacho kimefungwa.
by its_cana
Ni story inayowahusu watu wawili wakike anaefahamika kwa jina la Mayrah Gonzalez binti ambae maisha Yake yote ameishi bila kutambua baba yake mzazi ni nani kupelekea kuishi na mama pekee na wakiume Mwenye jina la Apollo Ferris kijana wa familia ya kitajiri. Hawa wawili wanajikuta wakiwa wanalazimishwa kuowana licha ya Kila mmoja akiwa Hana mapenzi na mwenzake ingawa wazazi wao ni business partners na kupitia hao ndio wakaamua kuwaoza vijana wao ili kudumisha partnership yao Painted Love kama …